Wednesday 20 October 2010

MWANAMFALME SAUDIA AFUNGWA MAISHA U.K BAADA YA KUUA "JAMAA"YAKE


Saudi Prince-Saud Abdulaziz bin Nasser al-Saud

huyo prinsi akimpiga mwafrika ndani ya lifti wiki tatu kabla hajauwawa




huyo prince na jamaa yake aliyemuua wakiponda maraha



habari zaidi jimuvuzishe HAPA

hii story inasikitisha kwakweli,huyo kijana aliyeuliwa ni yatima ambaye alikodishwa na mamaake na huyu prince ili amsindikize kwenye safari zoote za nje huyu prince atatembelea duniani,jamaa kakubali maskini akijua ataenda kutengeneza pesa,si unajua tena maisha yalivyo magumu afrika.na aah na kazi yenyewe ya kumsindikiza tu mtu safari zake za kustarehe ulimwenguni pote huku mnafikia hotelini nani atakataa,nadhani akili ya huyu jamaa mwanzo hakujua kama huyo anayemsindikiza ni shoga fulani hivi na mambo yake haya.katika safari zao ulimwenguni wakaweka kambi U.K. na ndiko kisa hiki kilipotukia,mashahidi mbalimbali wanasema uhusiano wao ilikuwa kama "bwana"na "bibi"ingawa huyu mwarabu anajitahidi sana kukanusha lakini imeonekana ushahidi kwamba alikua anamtumia huyo kijana kwa tamaa zake za mapenzi,sasa hatuelewi nani alikuwa anafanywa "mke"maana hawasemi,siku hiyo huyo mwafrika alipokufa kwa kipigo jamaa walikuwa wametoka zao kwenye pati ya valentine,sasa haieleweki labda huyu prince alikuwa anahitaji" kushughulikiwa" ama "kumshughulikia" na mtumwa wake anakataa hatujui,maana usiku huo ndio jamaa kala kipigo mpaka kufariki.dunia hii kazi kwel mungu atunusuru.

No comments:

Post a Comment