Tuesday 26 October 2010

MALMO SHOOTING CONTINUE

habari zaidi gonga HAPA

pia kuna kundi la mafioso wa zamani waliokuwa wanaitawala malmo kwa uhalifu nao wameamua kuingia mtaani kumsaka huyo jamaa,na wameapa aombee wasimkamate kabla ya polisi maana watakachomfanya anajua mungu habari yake utaipata HAPA

2 comments:

  1. ndugu yangu niko ulekule hawa watu hawajaamua waache kutudanganya hapa,siu bahati nzuri akimlenga ushekta mmoja ndio watatujulisha ni nani ila kwa sasa bado hajaua watu ni .......

    ReplyDelete
  2. teh teh,eti akimlenga ushekta hahaa,wala si utani mkuu hapo ndio wataanza kushughulika.

    ReplyDelete