Wednesday 13 October 2010

MENGI AFICHUA NJAMA ZA POLISI KUMBAMBIKA MWANAYE

mr.mengi
habari zaidi ifuate  HAPA
sishangai kabisa kwa jinsi ninavyofahamu bongo rushwa inaendaje,mi naombea tu sakata hili litinge mahakamani kila kitu kikae kweupe.maana watu wameshalalamika sana kuhusu rushwa airport na polisi.sasa naona jamaa wamegusa pabaya maana.halafu kizunguzungu kitakuja baada ya hili soo kuisha kimya kimya hapo ndo nnapochokaga na kesi za home.

No comments:

Post a Comment