Tuesday 12 October 2010

MISS AFRICAN SCANDINAVIA ILIVYOFANA














Warembo wakijitambulisha majina na nchi wanazotoka

mtasamehe sana maana ukisikia mambo ya kwenda shamba bila jembe ndio yalitokea siku hiyo,mchaka mchaka na wahi wahi nikajikuta nimesahau chaja ya camera,lakini nilipiga picha za kutosha,msishangae zingine zimetoka poa zingine zimefifia kidogo.hivyohivyo tuendelee mpaka ntakapofanikisha kupata m-camera fulani wa kutisha wa ki-paparazi,baada ya hapo tusikimbiane tu mitaani.

No comments:

Post a Comment