Monday 4 October 2010

TAARIFA YA MSIBA WA MONIKA CHUWA


Kwa niaba ya Familia na ukoo wa Chuwa wa Stockholm SWEDEN,tunasikitika kutangaza kifo cha ndugu na dada yetu mpendwa MONICA HANSSON CHUWA kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 03/10/2010 nyumbani kwake ,Msiba na Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake hallonevägan 4 Bromma,Stockholm SWEDEN.

MAOMBI NA USHIRIKIANO:
 Kwaniaba ya Familia na Marafiki wa marehemu,Tunaomba michango ya hali na mali kutoka kwa watanzania wote walowahi na wasiowahi kumfahamu. Michango yenu ya hali na mali inahitajika ili kutuwezesha kufanikisha shughuli hii nzito ya msiba wa mpendwa wetu MONICA. KWA MCHANGO WAKO TAFADHALI TUMIA DETAILS ZINAZOFUATA PAYPAL ACCOUNT(International tranfer): thelatemonica@hotmail.comfuata link hii: https://www.paypal.com/se/cgi-bin/webscr?cmd=_flow&SESSION=N7ibXXxEwoPkxlb47BTfeVOTKK8lLJ_F8-r4_kWMgZk8jYhr2sRpdc0rYRW&dispatch=5885d80a13c0db1f8e263663d3faee8dc18bca4c6f47e633b393e284a5f8a8f8 NA WALIOPO SWEDEN MNAWEZA FANYA HIVI: ACCOUNT NAME: DEVOTA SEBUYOYA ACCOUNT NUMBER: 4155 0201 073 BANK: NORDEA BANK CONTACT DEVOTA @ +4676 863 6248 "Bwana alitoa na bwana ametwaa, Jina la bwana LibaRikiwe".

No comments:

Post a Comment