Friday 8 October 2010

friday bongowood movie"TELL ME"

PART-1 PART-2 PART-3 PART-4 PART-5 haya tena,ni ijumaa nyingine ambayo tunapata yale mamuvi ya kule nyumbani bongo,leo hii nimeweka hiyo muvi tell me,nadhani ni nzuri ingawa sijaangalia kabisa tokana na muda,lakini yeyote atakayeiona plz tupe taarifa,comment ili kama nzuri wengine pia waicheki ama kama mbaya mtu asipoteze muda kuangalia.ni hayo tu week-end njema na mjiandae kwa picha za miss africa night cruise kuanzia j,tatu.ndo najiandaa kuelekea eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment