Wednesday 13 October 2010

MISS AFRICA CROWN SCANDINAVIA ILIVYOFANA

 michelle jeng mshindi wa kwanza toka TZ
 soumeyya toka togo na mshindi wa pili
 mshindi wa tatu hallex berry toka cameroon
 linda mshiriki toka TZ,alijitahidi sana,sijui kwanini hakuingia hata tano bora
 pendo,mshiriki mwingine toka TZ,siku hiyo majaji hawakuwa na pa kuchomokea tulikaba kila kona
 vazi la utamaduni
 hii ilikua yori yori toka ethiopia waling"ara lakini bahati haikuwa yao
 mshiriki toka uganda lakini na wao walitoka apeche
mshiriki toka congo,alitia fora kwenye kisanola na yenu,lakini u-miss ney.

 pendo na mshiriki wa ethiopia wakionyesha vazi la kitaifa
linda na washiriki wengine kwenye vazi la jioni

haya kwa leo nimejitahidi kuweka hizo,kesho ntaendelea ku-upload zingine nna picha nyingi sana na kesho mjiandae naweka za bik.....i,najua hapo ndio wengi maumivu ya kichwa huanza poooooole pole.

No comments:

Post a Comment