Tuesday 19 October 2010

DIAMOND UK TOUR



URBAN PULSE

Urban Tour na Diamond

Urban Pulse inawaletea Urban Tour na wasanii Diamond na Fyah Sister  mwezi Novemba Nndani ya UK.  Show zitafanyika katika miji mitatu ya UK

6 NOVEMBA
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP

12 NOVEMBA
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR

27 NOVEMBA
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT

Vilevile Urban Tour ikishirikiana na Tanzanian Community itakuwa inafanya Kampeni dhidi ya gonjwa la Malaria ambalo linaangamiza binaadamu wengi duniani
Wote mnakaribishwa kuja a kuparty  kwa Swaga za Kibongo na UK,  badhi ya mapato  yatakwenda kuchangia kwenye upambanaji wa Malaria

WOTE MAKARIBISHWA

BARAKA

URBAN PULSE

No comments:

Post a Comment