Wednesday 27 October 2010

IRENE UWOYA TENA







haya yule mwanadada mkali wa ku-ect mamuvi ya kimitego na malovee irene uwoya anaonekana na kanumba na ray location,nadhani wanaandaa muvi lingine,jina hawajasema ila wanakwambia ukae mkao wa kula kwani mambo yanaonekana si mchezo.haya wapenzi wa movie za bongo kitu hicho.

No comments:

Post a Comment