Monday 11 October 2010

MISS AFRICAN NIGHT CRUISE PHOTO

 HAPA NI BAADA YA MICHELLE KUTANGAZWA MSHINDI,NA MSHINDI WA PILI ALIKUWA SOUMEYA TOKA TOGO NA WA TATU ALIKUWA HALLEX BERRY TOKA CAMEROON
 mshiriki mwingine toka TZ
 watanzania wakishangilia ushindi baada ya michelle kutangazwa ameshinda
 mshiriki toka kenya
 mshiriki toka cameroon na mshindi wa tatu
 mojawapo ya washiriki
 washiriki 22 toka nchi mbalimbali walikuwepo
kuhusu nyomi ilikuwa si kawaida watu walijaa mpaka pa kupita unakosa

stay tuned picha zingine za matukio zitakujia hapa hapa baadae

thanx to KSB

No comments:

Post a Comment