Monday 11 October 2010

MSHANGAO WA RAIS JK ANAPOKUTANA LIVE NA UBABAISHAJI UWANJA WA TAIFA

 hapa ni kama jk anauliza"aaah sasa vp tena jama aibu hii"
tenga anamjibu" usijali mzee itapigwa sasa hivi tusubiri dk moja tu"
mara baada ya dk km  tano nyimbo ya taifa haipigwi
tenga kwa ghadhabu na hasira"nyie wapuuz washeni huo wimbo alaaah nikiwapandia huko mtanikoma"

bendera hana la ziada zaidi ya kushangaa tu"ala la la lahh mamaaaa aibu hii"
habari ndo hiyoo,aibu hii tumeipata hapo j,mosi kwenye mechi ya taifa stars na morocco nyimbo za taifa ziligoma kupigwa.

No comments:

Post a Comment