Friday, 29 July 2011

ITS FURAHIIIIIIIIIIDAY!"MAKE DE JUPKA EEH"FALLY & J.MARTINS enjoy



 if u get moni!ichi gologo,uget fwaini bebi ichi gologo make de jupka eeeh,e jik gologo eeh a ............... enjoy mdau nakutakia week-end njema mi niko hapa nshaanza kumeza meza kidogo steress furee




"hik dombodi eeh,aaah mabraza masista shobodii

nyimbo nzuri sana hii hasa ukiwa umepata kilaji,tena sio cha kisasa,uwe umekamata kibuku au mnazi au kimpumu au kindi,au pingu
utaipenda

GRAND NYAMA CHOMA KESHO FITTJA

lunch time leo"MISHKAKI YA SAMAKI"




RECIPE ITAKUJIENI BAADAE,NGOJA NISHIBE
ASENTE

HAPPY BIRTHDAY ASIFUNA

dada yetu huyu toka hapo jirani mozambique leo ni birthday yake,ni rafiki yetu mzuri sana  na huwa tunakua pamoja sana katika mambo yetu yaleeee.
hizi picha nilichukua mwaka 2008 kwenye birthday yake nyingine,kweli miaka inaenda.

mr isaackin muda wa menu

                                                             "twende nyumbani wewe"
                         mr isaackin na bellabelino,hapa nshapigwa kabali na bouncer wangu huyu
                                                mr isaackin na asifuna mayi mayi
beyonce wa stockholm chezeya

nikapewa kazi ya u-dj mbona walikoma

bella hapa kashameza wine ya kutosha

na leo shughuli ni ile ile ila kidogo leo spidi pungufu maana tuna-drive gari la milton,so si unajua dont drink and drive.tusije kukamatwa bure

Majibu ya samaki waliochunguzwa Arusha yatua Wizarani



Send to a friend
Thursday, 28 July 2011 21:03

Wazari wa Afya na Ustawi wa Jamii. Dk Haji Mponda

HATIMAYE Tume ya mionzi hapa nchini (TAEC) imekamilisha zoezi la uchunguzi wa samaki wanaohisiwa kuwa na sumu waliofikishwa mbele ya tume hiyo hivi karibuni huku ikisema wao wameshakamilisha agizo lililotolewa na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

Wizara hiyo ilitoa agizo hilo kupitia kwa Waziri wake, Dk Haji Mponda ambaye aliagiza samaki hao wapelekwe Arusha wakapimwe.Pia ilitoa tahadhari kwa wananchi kutokana na baadhi ya samaki hao kuanza kusambazwa sokoni.

Sakata hilo tayari limeshavuta hisia miongoni mwa wabunge katika Bunge ambapo juzi Mbunge Predensiana Kikwembe (Viti Maalumu CCM), aliitaka Serikali kulitolea tamko sakata hilo wakati akichangia hoja ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika mwaka wa fedha 2011/12.

Mbunge mwingine, Abdulkarimu Shah (CCM) kutoka Mafia , katika kikao hicho cha juzi alisema kuwa ni aibu kwa Serikali kuagiza samaki kutoka nje ya nchi wakati nchi ina bahari ,maziwa na mito mingi.

Akihojiwa na Mwananchi jana, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo, Firmin Banzi alisema tayari Tume yao imeshakamilisha zoezi la uchunguzi wa samaki hao jana na tayari wameshaiwasilisha ripoti ya uchunguzi mbele ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii jana.

Alisema Tume yao ilianza uchunguzi wake mnamo Julai 26, mwaka huu, baada ya kupokea samaki hao kupitia Shirika la Ndege la Presicion ambapo waliwatayarisha na kuwapima kabla ya kuandika ripoti ya uchunguzi kamili.

"Sisi tumeshakamilisha zoezi zima la uchunguzi kama tulivyoagizwa na wizara hivyo wizara ndiyo itakuwa na nafasi nzuri ya kutoa majibu na sio sisi,"alisema Banzi.

Banzi, alibainisha ya kuwa wameituma ripoti ya uchunguzi wa samaki hao jana aa 4:00 asubuhi kwa njia ya nukushi huku akikataa kuzungumzia changamoto walizozipata wakati wakifanya uchunguzi wa samaki hao kwa madai kuwa hawataki kuharibu majibu ya uchunguzi huo.

Ofisa habari na Mawasiliano wa Wizara Nsachris Mwamwaja alipoulizwa juu ya taarifa za uchunguzi huo umefikia wapi alisema taarifa hizo anazo Katibu Mkuu wa Wizara.

Lakini juzi jioni Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika, David Mathayo aliliambia Bunge kuwa ni mapema mno kuzungumzia suala hilo kwa kuwa liko katika hatua za awali za uchunguzi.

Hivi karibuni serikali ilitahadharisha kuhusu kusambazwa kwa zaidi ya kilo 1,000 za samaki wenye sumu sehemu mbalimbali za nchi na kuwataka wananchi washiriki msako iliouanzisha kuwatafuta.

Mwananchi

LUDAKRIS ATUA BONGO KWA MAKAMUZI YA FIESTA


Mwanamuziki Ludacris akizungumza jioni hii ndani ya Kempinsk hotel na Clouds TV, mara tu alipowasili jiji Dar. Ludacris ameahidi kukamua vilivyo kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2011,l itakalofanyika jumamosi hii ndani ya viwanja vya Lidaz Club, Kinondoni jijini Dar.

Thursday, 28 July 2011

MBOGA-MBOGA AT SKALMSTA GÅRD


JE UNAHITAJI MBOGA MBOGA?KAMA UNAHITAJI BASI HUU NI WAKATI WA KUTIMIZA UNACHOTAFUTA.SKALMSTA GÅRD WAMELIMA MBOGA NYIINGI SANA ZA KILA DIZAINI KWA AJILI YAKO(NIMESHUHUDIA),MBOGA KAMA MAJANI YA MABOGA,MAJANI YA MAHARAGE(NGUN`YANI)MAJANI YA KUNDE NA KUNDE ZENYEWE,VITUNGUU,KORIENDA,SPINACH ZA KILA AINA,MAHARAGE AINA TOFAUTI NA KILA AINA YA MBOGA UNAZIJUA WEWE UTAZIPATA KULE.
UNACHOTAKIWA KUFANYA KWANZA NI KWENDA
SKALMSTA GÅRD GRILL&DANCE PARTY


HAPO J,MOSI THEN UKIFIKA MAPEMA UTAWEZA JIONEA MBOGA HIZO LIVE SHAMBANI NA UNAWEZA KUNUNUA KIASI UTACHOHITAJI.VINGINEVYO WAWEZA ONGEA NAO LIVE KWA CONTACT NILIZOKUPA HAPO CHINI.

PIA WANYAMA WA AINA MBALIMBALI WANAPATIKANA PALE,KUKU WA KIENYEJI,MBUZI,KONDOO,NG`OMBE,KANGA,BATA,SUNGURA UKIHITAJI BEI NI MAELEWANO TU.KWANZA NENDA KATIKA HIYO PARTY KISHA HUTAJUTIA UAMUZI WAKO.
aina za mboga

Mangold(spinach) 15:-/kg
koriander, knippa 10:-
Zuccini gul, grön, vit stora 5:-/kg små 10:-/kg
pumpablad-(majani ya maboga) 30:-/kg
bladpersilja knippe 10:-
Isbergssallad(lettuce) 15:-/huvud (ca 1 kg)
lallo Rosso sallad 15:-/huvud
Röd bladsallad(mchicha) 15:-/huvud
Vildtimjan 20:-/knippe
Rödbetor 15:-/knippe (ca 1 kg)
Bönor olika sorter 10:-/kg
vattenkrasse 15:-/knippe
Krondill 10:-/knippe

contact
arbetar med grön integration på
Skalmsta Gård
http://www.skalmsta.com/
Skalmsta Gård
195 96 Rosersberg
08-59038124

Sweden Democrats reject Norway attacks blame


Sweden Democrat Erik Hellsborn has written on his blog that the twin attacks in Norway are the fault of "mass immigration" and "Islamisation", denying that he feels any shame for sharing the same views as the perpetrator.
Hellsborn's party colleagues have however condemned his argument.

"If there hadn't been any Islamisation or mass immigration then there wouldn't have been anything to trigger Behring Breivik to do what he did," wrote Hellsborn, who represents the party in Varberg in western Sweden.

"The ultimate responsibility is with the perpetrator, but if you are to discuss the underlying reasons which motivated him then it was caused by multiculturalism," Hellsborn explained to the local Hallands Nyheter daily.

Hellsborn furthermore writes that he feels no shame or guilt that he and Anders Behring Breivik share the same nationalist ideology. Those who should feel guilt are those he calls "cosmopolitans" and argues that "in a Norwegian Norway this tragedy would never have happened".

The political agenda detailed in Anders Behring Breivik's "manifesto" bears striking similarity to the ideology professed by the Sweden Democrats and when asked if the the party should shoulder some responsibility, Hellsborn replied:

"No, Breivik is a product of the multicultural society. If Europe had not become multicultural then the shootings would not have happened," he told Hallands Nyheter.

Sweden Democrats party secretary Björn Söder on Tuesday distanced the party from the Hellsborn's comments.

"The party does not stand behind the analysis. One should be very careful conducting an analysis at this early stage. And that is something we have communicated to Hellsborn," Söder told news agency TT.

"Of course no one other than the perpetrator has responsibility for what has occurred," he said.

The party and its rhetoric has had to shoulder the blame in some quarters of the public debate for contributing to the ideological climate which allowed Behring Breivik's hatred for society turn into violent acts.

While also recognising that it is Behring Breivik who his responsible for his actions and noting that most of the mainstream anti-Muslim movement discounts violence as a legitimate working method, the anti-racist magazine Expo, is one of the groups who share this view.

"It is impossible to disregard the ideological environment where Behring Breivik has structured his views on society if you want to understand the causes behind the terrorist attack in Oslo the 22 of July," Expo wrote in a statement on Monday.

"This ideological environment is built up around blogs, websites, networks and ideologues. It reaches into the various european populist right winged parties."

Björn Söder rejected the assertion that Behring Breivik's terror manifesto echoed the ideas of the Sweden Democrats, its view on Islam for example, which party leader Jimmie Åkesson has identified as "Sweden's greatest foreign threat".

"It's a big mishmash of lots of things that will justify what he has done. It is especially the contempt of democracy and a fetish for violence that pervades the entire manifesto," Söder said.

"But of course there is criticism of immigration, but there is also freemason mysticism and conservatism and liberalism. You try to pick parts out of context and attack us, and I think this is just as wrong as when Hellsborn says that multiculturalism has created Breivik," he said.

Sweden Democrat MP Kent Ekeroth also courted controversy on the evening of the attacks when used his twitter to ask: "Anyone care to guess who is behind the bombs in Norway?.

He was warned by party secretary Björn Söder not to speculate before the cause of the attacks was known, but proceeded to write: "No I am not going to call you Islamophobes".

Press secretary to Jimmie Åkesson, Linus Bylund, was also quick to draw conclusions, tweeting: "The next bastard who gushes about how sad it is for the nice Muslims when bleeding Norwegians are all over the streets will be blocked".

THELOKAL

INBJUDAN TILL SOLLENTUNA LEKLANDS BARN FESTIVALEN


.

Sollentuna lekland en ny mångkulturell mötesplats för barnen och familjer där barn träffas, leker, hoppar, umgås, har jättekul medan föräldrar fika, äta gott kan och boka in födelsedagskalas eller fest .
I samarbete med Sollentuna kommunen firman planerar en integrerande mångkulturell invigning för verksamheten med en barn festival där barn dans, svensk och exotisk mat kultur utställning, konst, barn teater traditionell dans, olika tävling; barnsång, en tips promenad och fisk dam.
Ägaren Ronald Musoke och Sollentuna Lekland näringsverksamhet är en inspirerande klarhet och produkt av jobbskapande genom arbetsmarknadspolitiskt program i Sollentuna.
Festivalen ska äga rum 2011-08-27 kl 12.00 – 18.00 på parkering platsen Malmvägen 4C- 2A.
Med den mångkulturellt invigningen  för Sollentuna lekland på  Malmvägen bidrar vi  till  attityd förändring av från en negativt bild av Malmvägen till en positiv bild, visa ny kraft, och Malmvägens som en handel plats för alla att trivas och bo i.
Berömd och känd dans artister ska utställa deras skicklighet i musik och dans.  Papa J Jembe traditionell dans grupp,  Rwandiska unga kvinnor dansgrupp, Vumbi Dekula live band: http://kenyastockholm.com/2011/05/04/vumbi-dekula-band-at-little-nairobi-7may-2011/ och Sollentuna Kulturskolan.Förutom musik underhållning dagen ska bjuder festliga inomhus och utomhus aktiviteter till publiken:
1.     Utomhus.  Utställningar för barn kläder, leksaker, exotisk dans, teater, skadespel mm. modevisning, hantverk och mat kultur.
2.     Inomhus: Barn och föräldrar tour leklands mötesplats köpa godis, glas leka tävla (fisk dam, lotto)
Syfte:
Syftet är att göra invigning av Sollentuna Lekland samt bidra till främjande av integration kultur, näringsliv, arbetsmarknads politik och marknadsföra Sollentuna kommun och Malmvägen som ett område att trivas i Sollentuna.

Målgruppen.
Alla barn, föräldrar i Sollentuna, företagare från Malmvägen, Stockholm länet, Sollentuna och publik.
Förväntat resultat:
Bidra Kultur främjande, integration, social nöje, underhållning, skapande of positiv kraft och förbättring av Malmvägen bild och marknadsföring av Sollentuna kommun.

Samarbetet:

Du kan bidra till:
Marknadsföring av barn festivalen på Sollentuna lokal alla vänner.
Komma och spela musikr , komedi, skadspel, måla eller göra annat som kan underhålla barn.
Köpa godis, presenter och erbjuda de till  barn
Sponsra något som kan hjälpa att göra barn festivalen en succee.
Framför all du få komma och delta.

 Anmälla din intrese till :
Ronald Zziwa- Kontakt personen
Sollentuna Lekland
info@sollentunalekland.se, 08-400 208 05, 073 5074874

KANGA MOKO NA KITU T..O KUFANYA KUFURU ARUSHA J,MOSI







KIKUNDI cha wanenguaji mahiri wanaojulikana kama Khanga Moja Ndembe ndembe na Kitu Tigo wanatarajia kufanya onyesho la aina yake katika Ukumbi wa Arusha City Park Jumamosi ya Julai 30, kuanzia saa tatu za usiku hadi majogoo.

Khanga Moja na Kitu Tigo wanazidi kujipatia umaarufu mkubwa hapa nchini hasa maeneo ya jiji la Dar es Salaam kutokana na aina yao ya uchezaji inayowaacha hoi wadau na mashabiki wa muziki wanaokwenda kuwaona mabinti hao.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mratibu wa onyesho hilo, Karen , akiwa chini ya Kampuni ya ONE2B Entertainment , alisema shoo hiyo itakuwa ya aina yake kutokana na mikakati yao kabambe, wakiwa na maana ya kuwaonyesha wadau wa jijini Arusha, umakini na vipaji vya wakina dada hao wa Khanga Moja na Kitu Tigo.

Alisema kufanya vema kwa mabinti hao sehemu mbalimbali za Tanzania kumewafanya na wao watamani kuwapatia burudani hiyo mashabiki wa jijini humo, ukizingatia kwamba watakua wakichuana vikali na kuwaona mabinti hao  ni burudani tosha.

“Nadhani mashabiki wa muziki wa jijini Arusha hasa kupitia unenguaji wa wakina dada hao wa Khanga Moja na Kitu Tigo wanaotamba nchini wakifanya makubwa katika kulishambulia jukwaa wakivalia vazi la khanga linalotoa macho wadau wengi.

“Nawaomba mashabiki wote bila kujali itikadi zao kuja kwa wingi katika onyesho hilo maalumu kwa ajili yao, likiwa la mwisho kabisa katika kuelekea mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, hivyo nadhani mashabiki watafurahia burudani hiyo,” alisema Karen.

Khanga Moja wanaofahamika pia kwa jina la Laki si pesa wameibuka katika siku za hivi karibuni na kuchengua wengi wanapokuwa jukwaani wakicheza kwa ubinifu wa hali ya juu, bila kusahau aina yao ya kucheza wakiwa wamevaa khanga. Wakati Kitu Tigo wao wanafahamika zaidi kwa jina wakali wa kuchezesha nyonga .

Kufanyika kwa onyesho hilo la watoto wa khanga moja ndembendembe na Kitu Tigo wakali wa nyonga jijini humo ni nafasi ya kuonyesha makali yao kwa watu wa huko, ikiwa ni baada ya kutokea mkoani Tanga kwa Wagosi wa Kaya, wakifanya shoo pia mjini Korogwe.
HAPO WABONGO HATA UKIWANYIMA UMEME POA TU WATATUMIA KOROBOI

Wednesday, 27 July 2011

NGUZO TANESCO ZIKO BUSY NA LEDE


HUKU WATUMIAJI WANAJIULIZA SIJUI ZITAMALIZA LINI KUCHEZA

SAMAKI WENYE SUMU WAPATIKANA DAR

MAMA BLANDINA NYONI
 
Katibu Mkuu wa WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii
ndio aliyetoa hii habari peupe
 
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imetahadharisha kuhusu kusambazwa kwa zaidi ya kilo 1,000 za samaki wenye sumu sehemu mbalimbali za nchi na kuwataka wananchi washiriki msako iliouanzisha kuwatafuta.

Taarifa ya wizara hiyo iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam imeeleza kuwa samaki hao ni sehemu ya kilo 124,992 zilizoingizwa nchini kutoka Japan.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, tayari Serikali imeanza msako mkali kuwatafuta samaki hao, lakini ikaonyesha wasiwasi kwamba juhudi hizo huenda zisizae matunda kwa kuwa sehemu ya shehena hiyo imeshaingia sokoni.

Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Blandina Nyoni alisema uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa samaki hao tayari wameingizwa katika masoko ya Dar es Salaam na Morogoro.

“Wananchi wanaombwa kutoa ushirikiano kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Idara za Afya za Mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro na Jeshi la Polisi, ili samaki waliobaki wapatikane,” alisema Nyoni.

Nyoni aliutahadharisha umma kuwa athari za sumu inayohofiwa kuwapo kwenye samaki hao ni ya mionzi ya nyuklia ambayo kimsingi hujitokeza taratibu katika mwili wa binadamu.“Samaki wenye uzito wa tani 1.319 wanafuatiliwa na kumbukumbu zinaonesha kuwa wamesambazwa kupitia soko la Feri, Dar es Salaam, Morogoro Mjini na Kilombero,”alisema

Katika kuhaha ili kuokoa maisha ya Watanzania, Nyoni anasema: “Wizara inaviomba vyombo vya habari, viiarifu na kuielimisha jamii juu ya kuwepo kwa samaki hao wanaochunguzwa kwa kuhisiwa kuwa na madhara.”

Pamoja na juhudi hizo, alifafanua “kazi hii ya ufuatiliaji na uchunguzi, inaendelea usiku na mchana hadi samaki hao watakapopatikana.”
 
SAMAKI WAMEPATIKANA WAMEENDA KUTHIBITISHWA KAMA KWELI WANA MIONZI ARUSHAAAA!
 
bofya HAPA

DIAMOND NEW SONG"MOYO WANGU"

Wimbo una mashairi mazuri,lakini kama vile naona beat na uchezaji vinafanana na nyimbo ya duly na nyingine ya aly k,sijui nyinyi mnasemaje wana bongo fuleva.

Tuesday, 26 July 2011

maji ya TB JOSHUA!



Nasikia luwassa alienda huko kwa huyu jamaa kujipatia tiba.sasa sijui anasumbuliwa na nini

KILIMANJARO FC YANYAKUA USHINDI KWA WATANI WAO KENYA KWA BAO 1-0


kikosi kamili cha kilimanjaro FC
Baadhi ya wachezaji na mashabiki wakifurahia ushindi



mkongwe taratibu hapo

kikosi kizima wakipasha kabla ya mechi
furaha baada ya ushindi



mama balozi wa kenya alikuja kutoa suport kwa timu yake
ikabidi apate picha ya pamoja na washindi
nyupi na shekhan
mkongwe nyupi ktk picha ya pamoja na vijana wake
picha zote kwa hisani ya humphrey
(msemaji wa timu)

TIMU YA SOKA YA KILIMANJARO FC YA HAPA STOCKHOLM SWEDEN,JUZI J,MOSI ILIWEZA KUONYESHA TENA UBABE WAKE ZIDI YA VIBONDE WAO KENYA KWA KUWACHAPA BAO 1-0 SAAFI NA KUCHUKUA USHINDI WA AFRICAN CHALLENGE CUP SCANDINAVIA.
MCHEZO HUO ULIOKUWA MGUMU NA KUTAWALIWA NA CHENGA ZA HAPO NA PALE ULIWEZA KUONGEZA UTAMU KWA VIJANA WA TANZANIA PALE KOCHA-MCHEZAJI ATHUMANI MACHUPA ALIPOPACHIKA BAO LA USHINDI.
VIJANA WA KENYA WALIJITAHIDI SANA KATIKA MCHEZO HUO KUZUIA MVUA YA MAGOLI KAMA ILIVYO ADA,LAKINI MPAKA MWISHO WA MCHEZO WALIONDOKA NA SINDANO MOJA TU YA GANZI(BAO MOJA)TOKA KWA KILIMANJARO FC NA KUSHUHUDIA KOMBE LIKIENDA KWA MABINGWA WATETEZI KILI FC.
KAMA KAWAIDA BALOZI WA KENYA ALIJITOKEZA KUSHANGILIA TIMU YA VIJANA WAKE BAADA YA KUAHIDIWA USHINDI LAKINI AKAISHIA KUONA TENA KIKOMBE KIKIENDA KWA TANZANIA INGAWA SI KWA MVUA YA MAGOLI KAMA MWANZO.
MPAKA MWISHO KILI FC 1 KENYA 0.

BILA KUSAHAU MNAKUMBUSHWA MASHABIKI WOOTE KWAMBA LEO J,NNE NDIO SIKU TIMU YA KILI FC WATACHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA DJURGÅRDEN KATIKA VIWANJA VYA STORA ESSINGEN IP NA MECHI ITAANZA SAA 12 JIONI

WOTE MNAKARIBISHWA

UWAPO MITAANI BONGO"TAHADHARI NA KUWA MAKINI"

TRUE STORY.

:Kuna jamaa yangu kama wiki mbili zilizopita, alikuwa anatoka kupata moja mbili kutoka baa moja inayojulikana kama Blackpoint iliyopo mjini kati muda wa saa moja hivi jioni, akaja kijana mmoja alionekana anashida sana ya kutaka kusaidiwa nauli, rafiki yangu akawa msamalia mwema akachomoa noti ya 1000 na kumpatia kijana, rafiki yangu alipokosea ni kumuuliza kijana kwani unaelekea mitaa ya wapi?

Kijana akasema anaelekea kimara, jamaa akasema basi twende nitakuacha manzese maana mimi naelekea Sinza, My friend says the guy dressed very smart and he was looking as a graduate who is for that day alikwama kweli nauli, and you cant even think if he is a criminal.

They started a journey from Posta via Jangwani, alipofika jangwani anasema aliaanza kujisikia kizunguzungu na kichefuchefu na kulikuwa na foleni kali sana . Akaamua alipofika magomeni achepuke kushoto ili apate pumzi kidogo nje, then he did not remember what went on until he found himself hospitali muhimbili akiwa hajitambui na wala hajui gari yake ipo wapi (he was driving a MarkX), na yeye mwenyewe akiwa bado na mawenge.

Jamani
zikumbukeni namba za wenzi wenu kichwani, usiku huo mnamo saa saba za usiku alipopata fahamu vizuri alikumbuka namba ya mke wake, akampigia na akaja hapo hospitali. Gari yake iliyokuwa na vitu vyake kama Laptop, bank cards, simu etc havijaonekana mpaka tunavyoongea leo.

Madaktari wanasema, alivuta sumu, sasa swali ni je kwa nini Yule kijana hakudhurika na hiyo sumu hiyo kwa kuwa walikuwa naye mpaka magomeni alipoanza kujisikia vibaya? Au ni wimbi la vijana ambao wanakuwa wanakufuatilia na mmoja wao anajitoa muhanga wa kuvuta sumu hiyo na wengine wanakuwa wanakufuatilia kwa nyuma, na wakishakukamata wanakutupa na kumuokoa mwenzao, which I think it is possible.

Jamani kuweni makini kwa kila unachokubali kukifanya. Maisha ni magumu na wezi wanakuja na kila aina ya mbinu za kuwaibia watu. Na kwa jinisi nilivyodadisi hawa wezi wanakuwa wanakujua unaishi maeneo yapi, kwa maana jibu la kijana huyo la kutaja direction anayoelekea huyo jamaa yangu is something to doubt.
My Friend is fine kiafya but lost important documents including a car
WIZI WA KUPULIZIA DAWA ZA KULEVYA KWENYE VIPEPERUSHI JIJINI DAR ES SALAAM

Ndugu wapendwa Kufuatia ugumu wa maisha, kunawizi umeingia Dar es salaam na inawezekana ukasambaa hata kwenye miji mingine mikubwa.


Wizi huo uko hivi
1. Unaweza kupewa kipeperushi ambacho kimepuliziwa dawa na baada ya kupokea aliyekupatia ambaye anajifanya anauza bidhaa anazozitangaza kwenye kipeperushi hicho anakufwatilia kwa nyuma na gari nyingine na kukupora kila kizu baada ya wewe kupotezafahamu.
AU


2. Ukiwa unaendesha gari vijana wanakufwata na kukushitua kuwa gari inawaka moto then utafungua dirisha kutaka kuona na pengine kusimama. Watakwambia hakuna kitu vijana wanakudanganya hao.

Ndani ya muda huo mfupi kwa namna ya ajabu ukifungua tu dirisha wanakupulizia madawa yenye radha na harufu kama pipi tamuu na kukufuatilia kwa matumaini kwamba utapoteza fahamu na wao kukunyanganya mali zako including kupora baadhi ya vitu kwenye gari.


HIVYO KUWENI MAKINI UNAPOENDESHA GARI USIFUNGUE VIOO WALA KUPOKEA KIPEPERUSHI AU KUNUNUA NUNUA HOVYO CHOCHOTE KWENYE HIZO FOLENI ZA DAR .

PIA WANAFANYA HUO UCHAKACHUZI WA FAHAMU HASA MAENEO YA PETROSTATION NA MAENEO YA MAEGESHO YA MAGARI KAMA MLIMANI CITY .

MWAMBIE NA MWINGINE.


SERIKALI YASEMA KIKOMBE CHA BABU HAKITIBU


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda (pichani) amepasua jipu na kusema hakuna utafiti wowote wa kisayansi uliothibitisha kuwa dawa za asili zina uwezo wa kutibu Ukimwi.

Kauli hiyo ilitolewa na waziri huyo wakati anazindua Kituo cha Matibabu ya Wagonjwa wa Ukimwi na Mafunzo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

Waziri Mponda ameyasema hayo huku maelfu ya watu  wakiwa tayari wamekunywa tiba ya mitishamba ya vikombe inayotolewa na watu mbalimbali akiwemo mwanzilishi wake, Mchungaji Ambilikile Masapile,…
Magonjwa mengine aliyotaja kuwa yanatibika kwa mitishamba kwa dozi ya kikombe kimoja ni kisukari, shinikizo la damu, kifafa pamoja na magonjwa mengine yanayosumbua katika tiba za kisayansi.

DAWA ZA KUREFUSHA MAISHA
Dk. Mponda alisema wagonjwa wa Ukimwi wanatakiwa kutumia dawa za kurefusha maisha (ARV) na akawataka waende kwenye vituo vya afya kupewa.

Aliongeza kuwa vituo vyote vya afya vinatoa dawa za ARV lengo likiwa ni kuhakikisha kila Mtanzania mwenye tatizo la Ukimwi anapata dawa hizo mahali alipo.
Alisema kuna vituo 50 vya afya ambapo 30 ni vya serikali na 20 ni vya watu binafsi ambavyo vinatoa msaada kutoka kwa wadau wa maendeleo.

“Wagonjwa wanaokwenda kupata tiba asili waache kwa kuwa bado zinafanyiwa utafiti,” alisisitiza waziri na kuzua minong’ono kutoka kwa watu waliokuwa wakimsikiliza wakisema ina maana waliokunywa wamejisumbua.

Akifafanua zaidi, Waziri Mponda alisema dawa hizo za mitishamba zinafanyiwa utafiti katika Hospitali ya Muhimbili na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).
Aliongeza kuwa kuna waathirika 110,000 wanaoishi na virusi vya Ukimwi na kati yao 72,000, wanaendelea kutumia dawa za ARV na kwamba hayo ni maendeleo katika kupambana na ugonjwa huo.

TAHARUKI
Tamko hilo la Waziri Mponda limesababisha taharuki kubwa kwa baadhi ya wananchi ambao wamekuwa wakipiga simu katika ofizi za gazeti hili wakidai kuwa serikali imechelewa mno kutoa tamko hilo.

“Watu wengi wameuza mali zao ili waweze kutibiwa kwa mitishamba inayotolewa kwa kikombe sehemu mbalimbali nchini, serikali inapojitokeza sasa na kusema haitibu, inatushangaza, wengi wameumia tayari,” alisema mtu mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la John, mkazi wa Arusha.

Mara baada ya tiba  hiyo ya Babu kutangazwa, mawaziri, baadhi ya wakuu wa mikoa, makamanda wa jeshi na wananchi walifurika kwa mzee huyo na watoa tiba wengine wa vikombe huko Tabora, Morogoro, Mbeya na Iringa kupata dawa.

Baadhi ya mawaziri, waliokunywa dawa hiyo ya mitishamba ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge), William Lukuvi, Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Steven Wasira na wabunge Nimrodi Mkono (Musoma Vijijini) na Augustine Mrema (Vunjo), Rose Nyerere, Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Yohana Balele na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro.

ASILI YA DAWA YA BABU
Mchungaji Masapile aliwahi kuulizwa kuhusu asili ya tiba yake, akasema : “Asili ya dawa hii ni Mungu mwenyewe, mti ni wa kawaida kama miti mingine ila Mungu ameweka neno lake ndani ya mti, hivyo neno ndilo linaloponya.”

Hakuishia hapo, alisisitiza  kuwa  Mungu akitoa neno lake ndani ya mti huo, basi mti hautakuwa na nguvu hiyo ya uponyaji. Hata hivyo, hadi sasa Babu hajatoa tamko kuueleza umma kuwa Mungu ametoa neno lake ndani ya mti huo au la na wananchi wachache wanaendelea kwenda kupata kikombe licha ya vifo kuongezeka kila kukicha.

WAZEE WA SAMUNGE
Aidha, baadhi ya wazee wa Samunge waliowahi kuzungumza na wanahabari kwa nyakati tofauti walidai  kuwa mti huo  anaotumia Babu kutibu watu una majina mawili ambayo ni Mgamryaga na Mbaghayo na walisema unapatikana kwa wingi katika Mlima Mwegari kijijini hapo.

Walidai kuwa mti huo ulikuwa ukitumika kama kinga ya kansa kwa kuuchemsha na kunywa supu yake na pia ulikuwa ukitibu baadhi ya magonjwa ya wanyama.

Lakini walitoa angalizo kuwa hapo kwao hakuna waganga wa kienyeji pengine katika jitihada ya kusititiza kwamba yanayotokea huko siyo masuala ya kishirikina kama ambavyo baadhi ya watu wanavyodai.

Baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakipinga tiba hiyo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe alimuambia mwandishi wa habari hii kuwa dawa za vikombe vyote inayotolewa sasa kama tiba ni mambo ya shetani.

Alinukuu aya ya Biblia Wakorintho 1;10 msitari wa 14-22 ambayo inasema Wakristo wanaoshiriki meza ya Bwana na kukinywea kikombe cha Bwana kamwe wasishiriki kikombe cha mashetani.
“Kwa hiyo kinachofanyika Loliondo ni ushirikina na ni kazi ya pepo wa uaguzi,” alisisitiza Askofu Kakobe.

chanzo:globalpublishers

Bunge lapokea barua ya Rostam kujiuzuru





SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, amkubali rasmi barua ya kujiuzulu kwa Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi (CCM) na kwamba, sasa wanamwandalia mafao yake kwa kipindi alichofanya kazi.
Kaimu Katibu wa Bunge, John Joel, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa barua ya Rostam ilifika kwa Spika Makinda Julai 19, mwaka huu na baada ya kuridhika na maelezo yake, amekubaliwa kujiuzulu na sasa wanajiandaa kumlipa mafao yake.
Jole alisema baada ya kupata barua hiyo, ofisi ya Bunge na kuridhika na sababu zilizotolewa na Rostam ilimshauri Spika kutangaza rasmi kuwa kiti cha ubunge wa Jimbo la Igunga kiko wazi.Hivi karibuni Rostam likwenda Igunda na kutangaa kujiuzulu ubunge na ujumbe wa halmashauri Kuu ya CCM.Kujiuzuru kwa Rostam kulifuatia mzozo mkubwa ndani ya CCM ikiwamo mkakati wa kujivua gamba ndani yua chama hicho.

Hata hivyo, Rostam alisema hajivui gamba bali anaang’atuka kutokana na kile alichokiita kuachana na siasa za kupakana matope ndani ya chama hicho Kikongwe.Jole alisema kuwa barua ya Rostam iliyoandikwa Julai 15, mwaka huu ilimfikia Spika Makinda Julai 19 ambaye baada ya kuridhika na maelezo yake alimwandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumjulisha kuwa atangaze kwamba Jimbo la Igunga liko Wazi.
“Spika aliipokea barua hiyo Julai 19 ingawa iliandikwa Julai 15 na baada ya spika kujiridhisha, Julai 20 alimuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumjulisha juu kuwa nafasi ya jimbo hilo iko wazi,’’ alisema Joel.
Alisema kuwa Ibara ya 71 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano inampa nafasi mbunge kujihuzuru nafasi yake na kwamba, mbunge huyo alifuata Ibara hiyo pamoja na Sheria ya Uchaguzi namba 61 (3).
“Ibara ya 149 (2) inaeleza kwamba mbunge atahesabiwa kuwa amejiuzuru wadhifa wake mara tu barua yake itakapowasilishwa katika ngazi husika, au kulingana na maelekezo yake, hivyo tangu wakati huo Rostam si Mbunge,’’ alifafanua Joel.Kwa taarifa hiyo maana yake wakati wowote utafanyika uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya mbunge wa jimbo hilo.
Kuhusu taratibu zitafuata baada ya taarifa hiyo ya Spika, Joel alisema kuwa hakuna taratibu nyingine zitakazofuata isipokuwa ni kutomhesabu Rostam kama mbunge wa Bunge hilo.

Tume ya uchaguzi
Hta hivyo, Mkuregenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Rajab Kiravu lisema barua ya Spika haiajamfikia.

Lakinia akasema mara itakapofika, Nec itaifanyia kazi kwa kuandaa uchaguzi mdogo kwa ajili ya kujaza kiti hicho.
"Kama wameandika Julai 20, sio siku nyingi sana inawezekana bado ipo njiani... Ikitufikia tutaifanyia kazi kwa kuandaa uchaguzi," alisema Kiravu alipowasiliana na gazeti hili kwa simu hili.

Mkopo wa gari
Joel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Shughuri za Bunge, alisema Rostam atalipwa mafao ya miezi saba ambayo alikuwa amelitumikia Bunge  la Kumi.“Ni kweli anastahili kulipwa mafao yake, kwa kipindi cha miezi aliyotumikia jimbo hilo kwa kuwa ameacha kwa hiari yake, lakini kuhusu suala la mkopo sisi hatuhusiki. Kama alikuwa na mkopo katika benki yoyote hiyo ni juu yake kwa kuwa Bunge halikopeshi mtu bali kumdhamini,’’ alisema.
Kuhusu gari la ubunge Jeol alisema kama Rostam alikuwa na mkopo wa gari atatakiwa kuurejesha au atanyang’anywa, lakini Bunge halihusiki kwa vile alikopa yeye binafsi.Kwa mujibu wa Joel, kitendo cha Rostam Kujiuzuru kwa hiari yake ni cha kwanza kutokea katika Bunge la Muungano.
Wakati Joel akisema kuwa hakuna mbunge aliyewahi kujiuzuru kwa utaratibu huyo, kumbukumbu zinazonyesha kwamba, aliyekuwa Mbunge wa Mpwapwa Alli Said Mtaki (TANU) alijiuzuru ubunge mwaka 1967 kwa hiari yake baada ya kutofautiana na Mwalimu Nyerere kuhusu Azimio la Arusha.
Mtaki ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Ushirika kwa wakati huo, alipinga kitendo cha kutakiwa kukabidhi mali zake kwani alikuwa na nyumba moja ya ghorofa ambayo aliona si sahihi kuikana.Hata hivyo, mwanzoni mwa miaka ya 1980 aligombea nafasi hiyo katika jimbo hilohilo na akapita na kulitumikia kwa vipindi viwili kabla ya kuangaushwa na George Lubeleje mwaka 1990.

mwananchi

Court orders HIV-infected man into isolation

A Malmö man in his twenties is suspected of having had unprotected sex without informing partners about his HIV infection.

The Administrative Court has now ruled that the man must enter forced isolation, according to a report in the local Sydsvenskan daily.

The man has been previously brought to the attention of the Skåne region's Centre for Communicable Disease Control (Smittskydd Skåne), for neglecting his regular contact with the hospital, and for having had unprotected sex with his girlfriend for two and half year without informing her about his infection.

When this was discovered in December 2010, the girlfriend was informed and reported her boyfriend to the police, leading his case to land on prosecutor Jeanette Sprimont's table.

"I started by contacting the Centre for Communicable Disease Control before proceeding with the case. I needed to get some information: Who is this person? When and how was he infected? What does he know about his disease, and what does he know about his obligations?" she said to Sydsvenskan.

Concerns that more women may have been put at risk through unprotected sex with this man are now being investigated, and these concerns also form the reason behind the man's forced isolation.

He will spend up to three months in isolation, according to the Administrative Court's ruling, which states that the man has not done anything to minimise the risk of the infection spreading, despite knowing his obligations.

"As soon as we get him placed in this isolation, we can talk to him about what we know," Sprimont said.

The man opposes the court's ruling, denying that he has had unprotected sex, or that he is planning to have it in future.

However, he remains currently accused of attempted aggrieved assault, between July 2008 and December 2010.

thelokal

Friday, 22 July 2011

VUMBI&DEKULA BAND LIVE TODAY AND TOMMOROW LILLA WIEN SODRA


The Summer Party Present’s: Dekula Band “Ngoma ya Kilo”
Place: Lilla Wien “Little Nairobi”; Date: 15-16-22-23 July 2011
Time: 21.00-01.00; Add: Swedenborgsg.20
Pendel: Södra Station

SKALMSTA GÅRD GRILL&DANCE PARTY 30JULY

 unakaribishwa kwenye utamaduni wa kukutana pamojachakula, MBUZI CHOMA(THENGA TWARIE= AFRICAN SAUSAGE) DJ Richy na muziki kutoka Afrika Mashariki,bongo flavaKongo nk::  Mchango wako ni kr 200 kwa kila mtu na SEK 300 kwa kila familia na watoto chini ya miaka 18. Utapata chakula na vinywaji viwili. baadae kutakua na mauzo ya vinywaji kwa wanaotaka kuburudika zaidi. Malipo yanatakiwa kufanywa siku tatu kabla ya tukio.wasiliana na namba hizo hapo juu. Kuhakikisha kuwa umelipa uwe na risiti ya malipo ukija kushiriki katika tukio hili la kitamaduni.

Malipo ni pamoja na usafiri kutoka kituo cha Märsta mpaka kwenye ukumbi wa tukio hilo na safari yakurudi Märsta kituoni, chakula na vinywaji.kama ukitaka kulipa papo hapo, ni gharama za usafirishaji SEK 75 pamoja na kiingilioVinywaji na chakula kwa viwango vya kawaida/bei poa..
Ni nyama choma ya uhakika...kila kitu ni FRESH, imechinjwa siku hiyo hiyo, nyama, mboga fresh..ugali na, pilau.

KARIBUNI





Afro-Svenska kultur Club
Club Culturel Afro-Suedoise
Afro-Swedish Utamaduni Club
Afro-Swedish Cultural Club

Inbjuder till ett utsökt kulturellt möte med exotisk mat MBUZI CHOMA OCH THENGA TWARIE(AFRICAN KORV) DJ Richy och musik från Östafrika, bogo flava, congo etc: Detta är en VIP-fest och du är inbjuden. Vi har kostnader och vi ser fram emot ditt bidrag på 200 kr per person och 300 kr per familj med barn under 18 år. Betalningen bör senast göras tre dagar innan evenemang till din kontakt person. Se till att kopia av betalningen är med dig när du deltar i den kulturella träffen.
Betalningen inkluderar transport från Märsta station till platsen för evenemanget och retur resan till Märsta station, mat och dryck. Om du betalar på plats kommer det att kosta dig 75 kr transport och entré. Drinkar och mat kommer att vara normala priser som medlemmar.


Invites you to a delicious cultural encounter with exotic food, MBUZI CHOMA AND THENGA TWARIE( AFRICAN SAUSAGE) DJ Richy and music from East Africa, bogo flava, congo etc:This is a VIP party and you're invited. We have costs and we look forward to your contributions at 200 per person and SEK 300 per family with children under 18. Payment should be made no later than three days before the event to your contact person. Make sure that the copy of payment is with you when you participate in the cultural event.

The payment includes transport from Märsta station to the venue of the event and return journey to Märsta stationfood and drinkIf you pay on the spot, it will cost you 75 SEK transportation and admissionDrinks and food will be normal rates as

KILIMANJARO FC KUCHEZA FAINALI KESHO J,MOSI TAR 23

TIMU YA SOKA KILIMANJARO FC YA HAPA SWEDEN,KESHO WATACHEZA FAINALI SIKU YA JUMAMOSI TAR 23 JULY.
MECHI ZINATEGEMEWA KUANZA MAPEMA HIVYO MNAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUANZIA SAA TATU ASUBUHI KATIKA VIWANJA VYA SKARPNÄRK.
TIMU YA KILIMANJARO NI MABINGWA WATETEZI WA KOMBE LA AFRICAN CHALLENGE CUP HIYO KESHO HIVYO UWINGI WENU UNAHITAJIKA ILI KUWAPA MORI VIJANA WA KILI FC.

BILA KUSAHAU UDIRINKI NA VIBAWA VITAKUWEPO

Thursday, 21 July 2011

ZILIPENDWA:WENGE MUSICA B.C.B.G 4X4 KINE BOURGE LIVE BRUSSELS

Enzi hizi ulikua wapi mdau?nakumbuka kipindi hiki baada ya kuangalia hii video ndio nilianza kuwa mpenzi wa bolingo hasa wenge damu,kipindi hiki wenge ilikua wenge kweli kikosi kamili,wote kina JB MPIANA,WERRASON,ADOLPHE DOMINGUEZ,BLAISE BULLA,DIDIER MASELA,ALAIN MAKABA,TITINA AL CAPONE na wengineo siwakumbuka,lakini kikosi kilikua kamili,ferre gola nakumbuka alikua kijana wa bendi,anajitolea kubeba magitaa na mabegi ya nguo ya kina jibe na werra.ilikua ni balaa ukizingatia sasa hivi wote wanamiliki bendi zao

EU warns Denmark on Sweden border controls

 
Danes deploy increased border controls

The European Commission on Monday warned Denmark that it has failed to justify a controversial decision to increase controls at its borders with Sweden and Germany.
 
The European Union's executive arm said experts met with Danish authorities last Thursday and visited the country's borders with its two European neighbours, which are part of the Schengen passport-free travel zone.

"Unfortunately, the mission did not enable us to get adequate answers to our questions," said EU home affairs commissioner Cecilia Malmström.

"There are persistent concerns about the compatibility of Denmark's strengthened internal control measures with the freedoms provided under the EU Treaty including the Schengen acquis," she said.

"It is incumbent on Denmark to demonstrate factually that the gravity of the situation justifies putting in place controls which might affect the exercise of free movement of goods, services and persons at the internal borders with Germany and Sweden."

The result of the mission makes it "even more necessary to establish a reinforced dialogue with the Danish authorities and to put in place a strict monitoring system based on regular information from the Danish authorities."

A letter was sent to Danish authorities to get further clarifications and further visits are not excluded, she said.

"The commission will not hesitate to use all tools at its disposal to guarantee free movement of goods, services and persons and the full respect of EU legislation," she said.

Denmark deployed 50 new customs officers at its borders with Germany and Sweden on July 5, a controversial measure hammered out under pressure from its
far-right ally which drew critics from Brussels and its neighbours.

The Scandinavian country argues random border checks are in line with Schengen and that their aim is to combat the smuggling of illegal goods and drugs, not to control travellers.

"In a first assessment the experts reported that they were unable to get sufficient justifications from the Danish side for the intensification of the controls at the internal borders," the commission said in a statement.

"In particular, according to the experts, the risk assessment required to justify the controls was not sufficient and there were no clear instructions to border control officers on how to carry out controls," it said.

"There also does not seem to be a structured reporting mechanism about the numbers of controls and the results of the intensified border checks."
 
thelokal

PINDA ASEMA HATIMA YA JAIRO IKO KWA RAIS

Rais Jakaya Kikwete.
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameyaweka hadharani maagizo aliyopewa na Rais Jakaya Kikwete kuhusu tuhuma za rushwa zinazomkabili Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo akisema amemwambia kwamba atashughulikia suala hilo yeye mwenyewe atakapotoka ziarani Afrika Kusini.

Juzi, Waziri Mkuu ambaye ni kiongozi wa shughuli za kila siku za Serikali bungeni, aliliambia gazeti hili kwamba alipewa maagizo na Rais juu ya kushughulikia tuhuma za kutenga zaidi ya Sh moja bilioni, kwa ajili ya kufanikisha kupitishwa kwa bajeti ya wizara yake.

Hata hivyo, jana alipoulizwa nje ya ukumbi wa Bunge kuhusu maelekezo hayo ya Rais, Pinda, alijibu: "Mheshimiwa Rais amesema atakuja kulishughulikia akirudi."

Pinda ambaye siku ya tukio hilo alionekana kuhamaki bungeni na kusema kwamba kama angekuwa na mamlaka angemfukuza kazi Jairo, jana alionekana mwenye subira huku akisisitiza kuwa: "suala hilo halina uharaka."

Tuhuma dhidi ya Jairo ziliibuliwa na Mbunge wa Kilindi (CCM), Beatrice Shellukindo ambaye alisema mtendaji huyo mkuu wa wizara alitoa dokezo kwa taasisi zote zilizo chini ya wizara hiyo kutoa Sh50 milioni ili kufanikisha bajeti kupita bungeni hatua ambayo iliibua hasira miongoni mwa wabunge hasa ikizingatiwa hali ya nishati ya umeme ilivyo kwa sasa nchini.

Shellukindo katika tuhuma zake alisema, Jairo aliziandikia barua idara na taasisi hizo akiziagiza ziweke fedha hizo kwenye akaunti namba 5051000068 inayomilikiwa na Geological Survey of Tanzania (GST) kwenye Benki ya NMB, Tawi la Dodoma.

Kabla ya ufafanuzi huo wa Pinda, jana mchana kulikuwa na tetesi zilizozagaa katika jiji la Dar es Salaam na baadhi ya mitandao ya intaneti zikidai kwamba Jairo ameandika barua ya kuomba kujiuzulu. Akizungumzia tetesi hizo Pinda alisema: "Sina taarifa hizo," na kuongeza Pinda na kukiri kwamba hata yeye amezipata lakini haelewi chochote kuhusiana na hilo.

Jumatatu wiki hii, baada ya Shellukindo kuibua tuhuma hizo bungeni, Pinda aliahidi kuwa angewasiliana na Rais siku hiyo baada ya kutua kutoka kwenye ndege kwa ajili ya kumchukulia hatua za kinidhamu... "Kwa jinsi jambo hili lilivyokaa, hakuna jinsi mtu unavyoweza kulitetea hata kidogo, nilitamani sana kwamba nije hapa niseme kwamba uamuzi wangu mimi ni huu, lakini haikuwezekana.

Kwa dhati kabisa naomba wabunge tuwe na subira, mara tu mheshimiwa Rais atakapotua South Africa (Afrika Kusini) jioni ya leo (juzi), nitamwarifu na ninaamini tutaelewana kuhusu hatua za kuchukua.

Hata hivyo, Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, imesema haijui chochote kuhusu mawasiliano hayo ya Rais Kikwete na Waziri Mkuu Pinda, kuhusu hatua za kushughulikia jambo hilo. Mwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais, Premi Kibanga alisema hadi jana mchana, kurugenzi hiyo haikuwa na taarifa yoyote juu ya tuhuma zinazomhusu Jairo wala mawasiliano baina ya Waziri Mkuu na Rais.“Kama (Waziri Mkuu Pinda kumpigia Rais Kikwete), atakuwa amempigia siyo lazima sisi tujue,” alifafanua  Kibanga.

Chanzo:mwananchi

TIMU ANAYOCHEZA MRISHO NGASA IMEPIGWA BAO 7-0 NA MAN U HUKO U S

Wednesday, 20 July 2011

BARUA YA DAVID JAIRO ILIYOLETA KIZAAZAA HII HAPA


bw david jairo



SASA HAPA SERIKALI INAPATA KIGUGUMIZI CHA NINI KUTOA MAAMUZI?TUTAAMBIWA WANAFANYA UCHUNGUZI MARA KITAFUATA TUME KISHA TUTAAMBIWA HAKUNA USHAHIDI WA MOJA KWA MOJA.
BAADA YA HAPO TUMELIWA ITAKUJA ISSUE NYINGINE MPYA.

INVITATION​_AFRICAN CHALLENGE CUP FINALS





Dear Sir/Madam,
You are cordially invited to attend a special ceremony to mark the end of the 2
Challenge Cup Finals. The event will take place on the 23
stadium. Proceedings will commence with the 1
2
Rapper Khumalo. From 13.20pm to 14.40, the forth place of the African Challenge Cup will be played.
From 14.40pm to 15.00pm, a display by Iya Traore, a popular sport artist from France will take place
alongside with DJ Jessica. From 15.00 to 16.00, a football game between elders from Kenya and Ivory
coast will take place. From 16.00pm to 16.45pm, Iya Traore and Khumalo will go to the stage once
more. Then the finals of the African challenge cup will take place from 16.45 to 17.30.
The organising team looks forward to meet you at the event, share the summer experience and enjoy
the day with us
Yours Sincerely
Jacob Yombi de Yombi
Chairman
Sports Association of Afro-Scandinavians