Friday 1 July 2011

MISS AFRIC SCANDINAVIA 2010 ATEMBELEA VITUO VYA YATIMA NA KUTOA MISAADA




Mrembo wa Afrika katika nchi ya Scandnavia, Michelle Jeng, akitoa msaada katika moja ya vituo vitatu vya watoto yatima alivyotembelea wakati akiwa Tanzania.
Ataondoka kurudi Sweden tarehe 2 July.

No comments:

Post a Comment