Thursday 21 July 2011

ZILIPENDWA:WENGE MUSICA B.C.B.G 4X4 KINE BOURGE LIVE BRUSSELS

Enzi hizi ulikua wapi mdau?nakumbuka kipindi hiki baada ya kuangalia hii video ndio nilianza kuwa mpenzi wa bolingo hasa wenge damu,kipindi hiki wenge ilikua wenge kweli kikosi kamili,wote kina JB MPIANA,WERRASON,ADOLPHE DOMINGUEZ,BLAISE BULLA,DIDIER MASELA,ALAIN MAKABA,TITINA AL CAPONE na wengineo siwakumbuka,lakini kikosi kilikua kamili,ferre gola nakumbuka alikua kijana wa bendi,anajitolea kubeba magitaa na mabegi ya nguo ya kina jibe na werra.ilikua ni balaa ukizingatia sasa hivi wote wanamiliki bendi zao

No comments:

Post a Comment