Friday 29 July 2011

HAPPY BIRTHDAY ASIFUNA

dada yetu huyu toka hapo jirani mozambique leo ni birthday yake,ni rafiki yetu mzuri sana  na huwa tunakua pamoja sana katika mambo yetu yaleeee.
hizi picha nilichukua mwaka 2008 kwenye birthday yake nyingine,kweli miaka inaenda.

mr isaackin muda wa menu

                                                             "twende nyumbani wewe"
                         mr isaackin na bellabelino,hapa nshapigwa kabali na bouncer wangu huyu
                                                mr isaackin na asifuna mayi mayi
beyonce wa stockholm chezeya

nikapewa kazi ya u-dj mbona walikoma

bella hapa kashameza wine ya kutosha

na leo shughuli ni ile ile ila kidogo leo spidi pungufu maana tuna-drive gari la milton,so si unajua dont drink and drive.tusije kukamatwa bure

No comments:

Post a Comment