Monday 18 July 2011

KIONJO SHOW YA KIDUMU STOCKHOLM JUMAMOSI ILIVYOKUWA


pablo,kidum,clay onyango naona hapo pablo kashaanza
"wewe embu kuja hapa utufotoe mafoto bwana"
hii ilikua kwenye nyama choma kidum akiwapa utangulizi mashabiki kabla ya kutumbuiza ukumbini


Alipiga live full band hakuna playback

MAPICHA MENGINE NA VIDEO ZITAWAJIA BAADAE,BADO ZINAFANYIWA EDITING KIDOGO NA WATAALAM



No comments:

Post a Comment