Wednesday 20 July 2011

lunch time leo"DEEP FRIED SPARE RIBS"kitimoto

KWA WALE WENZETU HAWAPENDI HII KITU LEO MTATUPISHA KIDOGO


Unatakiwa kuwa na vipande vya pork ribs vilivyokatwa kama hivi

baada ya marination"garlic+ginger paste,salt and lemon"inakua hivi then unaiacha ndani ya friji(km una muda) saa nzima ili viungo vikubali

baada ya hapo unatumbukiza ndani ya karai yenye mafuta moto yaliyochemka unaziacha humo huku ukigeuza geuza mpaka ziwe brown

pembeni tengeneza kachumbari yako km hivi,usisahau piri piri


naam baada ya kuwa tayari mkuu wa meza ataonekana kama hivi

na hapo draft imekamilika,kitonge na hiyo kitu ndio haswa nyumbani kwake
ANGALIZO
kuna wadau wawili watatu walikua wanauliza "mzee isaackin unamaliza kitonge chote hicho?,hapana kabisa,huwa napika ugali mkubwa lakini sijawahi kumaliza mara nyingi napiga nusu na nusu ingine kesho au mchana na usiku,kula ugali mkubwa namna hii ni hatari kwa afya yako ingawa ni janga la kitaifa.
pia asanteni kwa kuijali afya yangu


msisahau baada ya kujinoma hii kitumoto partner wake ni hilo kopo unaliona hapo
baada ya hapo lazima upige usingizi wa pono

MAHITAJI

*thick pork ribs 1kg
*ginger&garlic paste 2 tbspoon
*fresh lemon juice 1
*salt to taste

NAMNA YA KUPIKA NI KAMA NILIVYOWEKA CHINI YA PICHA




NDUGU WADAU,SAMAHANI SANA KWA KUTOWEKA RECIPE KWA MUDA MREFU,NAJUA WENGI WENU MNAPENDA SANA HII SEHEMU,ANYWAY BAADA YA KUKAA NIKAFIKIRIA KUTENGENEZA KITIMOTO KAMA CHA NYUMBANI,NDIO MAANA UTAONA SPICE ZAKE ZILIKUWA SIMPLE KABISA.UKWELI ILITOKA VIZURI NA TASTE YAKE ILIKUA TAMU KUPITILIZA"I WISH MNGEKUWEPO"

HATA HIVYO ILE YA HOME  KINO PALE KWA MZEE RINGO,AU SINZA B.B,AU M"NYAMALA GARAGE KWA PROSPER AMA  A KWA BABU PALE NYUMA ILE KIBOKO,SIJUI HUWA WANATUMIA NINI WALE.
BY THE WAY KIUBISHI HATA HII ILITOKA MUKIDE KIMTINDO
KAA TAYARI KWA RECIPE ZINGINE

2 comments:

  1. asante kaka isaackin recipe ya kitimoto japo umeadimika kwa mudakaka mimi nilikuwa naomba unisaidie recipe ya chapati kama unajua jinsi ya kutengeneza mimi huwa napenda sana chapati lakini nikipika hazitoki laini zinatoka ngumu naomba kama unajua namna yakuziandaa zizitoke ngumu pls nieleweshe kupitia hii glob yako mimi ni fan wako mkubwa ubarikiwe na kazi yako nzuri nasubiri majibu kwa hamu

    ReplyDelete
  2. anakusalimia AZIZ TAYLOR

    ReplyDelete