Saturday 2 July 2011

RATIBA YA MIPAKAZO KWA WA TZ-STOCKHOLM LEO



kama mnavyoona hapo juu,shughuli mzima ya nyama choma inaendelezwa leo kwa wale waliokosa last week,leo hii itachomwa pale årsta kuanzia saa tisa mchana nyama zinakuwa motoni,njoo uwahi zile moto moto.

pili ni mr lomu letara na mkewe judith ni birthday ya mtoto wao leo,mipakazo ipo na nyama kama kawa ya mmasai ni pale farsta(kwa walioalikwa tu)

pia bwana vumbi & dekula band wanasababisha leo pale uwanja wao wa nyumbani lilla wien sodra mnakaribishwa ili mupate zile za zamani bila kusahau malewa pia inapigwa live

haya sasa kazi ni kwenu wana stockholmer ni kuweka silaha zako sawa tayari kuingia mitaani.



No comments:

Post a Comment