Friday 1 July 2011

WHAT HAPPEN TO MR TZ MATUKIO CHUMA

Matukio chuma

sijui ni ushamba wangu au vipi na kama nakosea nishtueni kishkaji,huyu jamaa nakumbuka aliwahi beba bendera ya taifa kama mr TANZANIA.
sijui ilikuwaje ila nakumbuka wakati anabeba hiyo bendera alikua chuo kikuu sijui wapi sina kumbukumbu vizuri
then baada ya kushinda akapotea ghafla sijui alielekea wapi lakini nadhani ni ughaibuni U.K ama U.S.
baada ya kurudi toka huko sasa


matukio kushoto
matukio mwenye miwani nerd
matukio na fide
pozi tata

kiduku sana tuu
anyway nisiende mbali sana,ila nna vijimaswali kiduchu.huyu mr tanzania wetu vipi siku hizi maana !
je hizi ni tabia alizokuwa nazo toka mwanzo ama vipi?
nauliza sababu mimi na ushamba wangu kidogo mambo ya mujini yaminipita pembeni.
sielewi ni vigezo gani vilitumika kipindi hiyo kumchagua mr tanzania lakini tukumbuke kwamba tuliyemchagua anaendelea kutuwakilisha katika mazingira haya kama yeye ashawahi kuwa mr tanzania.
sasa msije mkasema nna wivu najaribu kuhoji tu maana tukienda kwa mafisadi wakali haooo!
na kwa sababu hii ni blogu ya burdani basi sio mbaya tukiwaongelea celebrity wetu pia.
sijaandika hii habari kwa ubaya ila ni vimawazo vyangu tu uchwara vya leo maana sijaenda kupakaza

5 comments:

  1. mhhh najua kila mtu na maisha yake lakini sasa anaonekana kama ni "miss". manake nna sura anajiremba kweliu dunia imekwisha. Tumuombe mwenyezi mungu atuepushe watoto wetu wasiwe hivi..

    ReplyDelete
  2. Ila jamani Mr TZ si anatakiwa awe msuli mtu.. six pack mnavyosema na sura dume mtu..sasa huyu kigezo ilikuwa???Maana alikuwa pretty sana kuwa Mr.

    Ila kama amechagua na ametoka wazi ndio vema. Aishi inavyompendeza!!! au sio?

    ReplyDelete
  3. mtoto si ridhiki tena umelala doro

    ReplyDelete
  4. umelala doro mtalimbo

    ReplyDelete
  5. Hakuwa mr tz but mr university tz. Vigezo ilikuwa ubunifu, uwezo wa akil

    ReplyDelete