Wednesday 27 July 2011

DIAMOND NEW SONG"MOYO WANGU"

Wimbo una mashairi mazuri,lakini kama vile naona beat na uchezaji vinafanana na nyimbo ya duly na nyingine ya aly k,sijui nyinyi mnasemaje wana bongo fuleva.

1 comment:

  1. Nimeliona hilo hata mimi sio Kiba tu na Dully Beyonce kdg kwenye kutingisha mabega, Tundaman starehe garama,thriller ya MJ pia kdg yani the whole dance ni kwamba kaokota stails huku na huku ila ngoma imetulia

    ReplyDelete