Monday 4 July 2011

WEMA AKIMPA TAFU MZEE WAKE ALUMASI JUKWAANI


ni kama vile anaimba
"nimehamia mbagaraaaa niko tayari kukaa mbagaraa ,mbagaraaa mbona kuzuri tu nimehamia mbagaraaaaaa kwa ajili yako mr alumasi"



unoz kama kawa,haya ndo mapenzi bana hata kama jamaa yako anapiga box unampa tafu sio kuua tu wakati fwaranga zikipatikana mnaziponda wote.

ohoooo nini tena hiki?ajali kazini full A.C

1 comment:

  1. anoniiiiiiiiiii4 July 2011 at 14:37

    aaaaaaaaaah nini mbona utamu nusu.....anhaa washainunua eeh.....kaaaazi kwelikweli fiesta jipanguseeeeeeeee

    ReplyDelete