Thursday 7 July 2011

MSIKIE EBOA LOTEE WA WERRASON-KWENYE VALENTINE SONG



hii pia ni katika moja ya rhumba nazipenda sana,anyway kama unapenda hivi vitu utai-feel hii nyimbo mwenyewe.
na mimi hii nyimbo na yori-yori ndio nilifungulia muziki kwenye harusi yangu.
ilinoga sana sio siri

siku hiyo kina lundkvist,nillson,per gunnar,lennart,olof,jonnas,bjon,anders walikula muziki kama hawana akili nzuri.ilikua kama tuna ride on board back to africa
realy fun.

No comments:

Post a Comment