Friday 15 July 2011

NAFASI YA ISAACKIN BLOG KATIKA TANZANIA BLOG AWARD

Best Entertainments Blog
http://www.bongostarlink.com/                           25.24%
http://bongocelebrity.com                                   19.05%
http://thesporahshow.blogspot.com/                 15.24%
http://ankomo.blogspot.com                              11.9%
http://bongoflavortz.blogspot.com/                    11.9%
http://dartalk.com/                                                8.57%
http://isaackin.blogspot.com/                             5.71%
http://mtotowakitaa.blogspot.com/                    1.9%
http://mrokim.blogspot.com                                0.48%
http://hotspotmagazinetz.blogspot.com/    
WELL,ISAACKIN BLOG ILISHIKA NAFASI HIYO HAPO KAMA MNAVYOONA JUU,HII ILITOKANA LABDA NA KURA KUWA CHACHE NA PIA WATU KUTOKUWA NA IDEA NA HAYA MASHINDANO,PIA NAONA NA UCHANGA WA BLOG UNACHANGIA.
BY THE WAY KITENDO CHA BLOG YA ISAACKIN KUFIKIA KUPENDEKEZWA KATIKA MASHINDANO HAYO NI HATUA NDEFU TU,KUNA BLOG NYINGI NA ZA ZAMANI AMBAZO HAZIKUWEZA HATA KUPENDEKEZWA KUWEPO KATIKA HAYA MASHINDANO KATIKA CATEGORY YEYOTE.HIVYO HAPO TULIPOFIKIA NI HATUA NZURI TU INGAWA HATUKUSHINDA.
NACHUKUA FURSA HII KUWASHUKURU WOOTE WALIOIPIGIA KURA BLOG HII NA NI MATUMAINI YANGU KATIKA MASHINDANO YA MWAKANI TUTAKUWA TUMEJIIMARISHA VYA KUTOSHA NA KUJITAHIDI KUPATA KURA NYINGI ZAIDI NA IKIWEZEKANA USHINDI.
PIA KAENI TAYARI KWA MABADILIKO MAKUBWA YA BLOG NA VITU VIPYA.
ASANTENI SANA

MR.ISAACKIN 

No comments:

Post a Comment