Monday 18 July 2011

AISHA MADINDA ATUA EXTRA BONGO


kwa mara ingine tena ally choki ameendelea kudhirihisha ujirani mwema na twanga pepeta baada ya kumnyakua mnenguaji maarufu wa bendi hiyo aliyetoswa Aisha Mbegu madinda,ni wiki chache zimepita tuliposikia Asha Baraka akilalamikia tabia ya Aisha kuendeleza matumizi ya bwimbwi na kushindwa kuendelea na matibabu,haya sasa tunaona kahamia kwa mzee wa farasi,sio mbaya ni katika jitihada za Ally Choki kuendeleza vipaji vya wakongwe hawa licha ya kwamba nao wana matatizo yao.
sie yetu macho naona Banza Stone sasa katulia baada ya kuingia extra bongo,tunatumai Aisha nae atatulia na kuacha kuendeleza nanihii na kupiga kazi
BIG UP SANA CHOKY

No comments:

Post a Comment