Friday 1 July 2011

STEKI TUPU



















teh teh teh,kuna siku mdau mmoja anonimas alinishutumu kwamba napendelea wenye matako,bahati mbaya sana niliwahi kusema mwenye kuhitaji tuweke picha yake fashionista,birthday,msiba na chochote kile atutumie hawajafanya hivyo,leo hii nikiweka hizi nyama wanashtuuuka.jamani ni kwamba tunatafuta na kuweka kinachopatikana,hawa jamaa alltheparty wanatuma picha za party kila wiki na mamodo wao ndo hao namimi lazima niweke maana ni member kule na nimesajili kutumia picha zao hivyo msiopenda nyama mtatupisha ktk kipengele hiki.
anyway msiopenda saana hizi kuna nyama za sambusa nazo zinafaa kutolea machungu hizi mtuachie sisi.

No comments:

Post a Comment