Wednesday 13 July 2011

BReAkN nYuZz:Mbunge rostam ajivua gamba la kijani


Wakati nji ikiendelea kuwa kizani na huku serekali ikiendelea kulipa mabilioni makampuni kama ,richmondo,dowans na Iptl,
Nae prezidaa akiwa katika moja ya hotel zinazoongoza duniani Serengeti Bilila lodge akipunga upepo,inasemekana swahiba mkubwA na mfadhili(remote)wa chama twawala bw ROstam Aziz amejiuzuru ghafla,bw rostam ametangaza dhamira yake hiyo leo kwa sababu ambazo bado hazijatolewa ufafanuzi.
Tutaendelea kuwaletea kinachojiri na tamko la bwana mkubwa akitoka mapumziko.


 at least kidogo leo ugali utateremka ingawa bado tutabaki na majeraha na vidonda kibao

mtasamehe wadau msishangae nimechanganya kuandika niko gizani

No comments:

Post a Comment