Tuesday, 17 July 2012

Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia awasili nchini


Rais Dk. Jakaya Kikwete akimuongoza mgeni wake Rais Ellen Johnson Sirleaf  wa Liberia mara baada ya kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere leo mchana, Rais Johnson atakuwa na ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania
 
(PICHA NA ZOTE NA FULLSHANGWE)Hii ndiyo ndege iliyomleta Rais Ellen Johnson Sirleaf ikiwa katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere.
Rais Ellen Johnson Sirleaf ikiongozwa na Mkuu wa Majeshi nchini Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange mara baada ya kukagua gwaride la heshima.
Rais Dk. Jakaya Kikwete mgeni wake Rais Ellen Johnson Sirleaf  wa Liberia wakiangalia ngoma za asili za Tanzania.
Rais Ellen Johnson Sirleaf  wa Liberia akiondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere mara baada ya kuwasili nchini.

No comments:

Post a Comment