Friday, 20 July 2012

NGWASUMA LIVE ON STAGE

hii siku niikua ndani ya nyumba,na nilimuona mzee wa libemeke ankal akiwa kazini kunasa hii video

2 comments:

  1. Dahh kaka kama ulijua,nilikuwa nataka nikuulize kwa nini kila siku unapost live concert za band za kikongo tu,na nyumbani zipo band kibao tatizo lilikuwa nn? nashukuru umetuwekea hizi mwanzo mzuri,tunasubili na sikinde,msondo,twanga nk,nyumbani ni nyumbani mkuu,naikubali sana hii blog,kazi njema

    ReplyDelete
  2. asante mdau na karibu tena,nitaweka pia live za kibongo kila mara ntakapozipata,tuko pamoja.

    ReplyDelete