Wednesday 18 July 2012

MASHUJAA MUSICA WAJA NA VIDEO MPYA"RISASI KIDOLE"

 Meneja wa mashujaa musica Martin Sospeter (kushoto) pamoja na kiongozi wa bendi hiyo Charlz Baba wakionesha CD ya video ya wimbo wao uliobeba jina la albamu ya bendi hiyo 'Risasi Kidole' wakati wa utambuylisho wa waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa Business Park uliopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam
 

No comments:

Post a Comment