Tuesday, 10 July 2012

RAIS WA MADAKTARI AFIKISHWA MAHAKAMANIKiongozi wa madaktari nchini Dr. Namala Mkopi (daktari bingwa wa watoto),amefikishwa katika mahakama ya Kisutu asubuhi ya leo kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini.

No comments:

Post a Comment