Thursday, 26 July 2012

CHAMELEON AANDAMANA HADI UBALOZI WA TANZANIA UGANDA KUMTUHUMU ERICK SHIGONGO KWA KUMNYANGANYA PASPORT YAKE ALIPOKUA ZIARANI TZ

 

DEMONSTRATION AGAINST ERIC SHIGONGO OF   GLOBAL PUBLISHERS TANZANIA

                     Shigongo mwenyewe anayetuhumiwa kunyanganya pasport ya  dr Chameleon
"shigongo rudisha pasiport yangu"

 hapa jamaa akimwambia"e bana tartibu basi watu watasikia"

 haya ngoja niandae kabisa na sehemu ya kulala maana leo tunakesha hapa
Hapa akiwaimbia wafuasi wake,inasemekana hili biti liko njiani na linamuhusu huyu huyu mbabe wetu bongo
 na usalama walimsindikiza


 kumekucha tena shughuli ikaendelea mpaka kieleweke
 mkuu wa polisi nae akatoa baraka zote
 hapa akiongea na waandishi

 hapa dr Chameleon kashachoka kaamua akapumzike lakini swala lishafika mahala pake

NA HUU NI UJUMBE WAKE FACEBOOK

I AM AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN DEMOSTRATION FOR THE CONFISCATION OF MY PASSPORT BY A TANZANIAN ILLEGALY ERIC SHIGONGO I NEED MY FREEDOM TO TRAVEL AS A UGANDAN!

I NEED MY PASSPORT BACK ASAP!


FOR GOD AND MY COUNTRY UGANDA.
I AM VERY DISAPPOINTED!

I WAS HIRED BY GLOBAL PUBLISHERS A TANZANIAN COMPANY, TO PERFORM AT THE NATIONAL STADIUM ON THE 7th July 2012.


I PERFORMED AS THE CONTRACT AGREED! ON SUNDAY 8th ONE ERIC SHIGONGO THE CEO GLOBAL PUBLISHERS CONFISCATED MY PASSPORT ALLEGING MY MANAGER HAD SWINDLED HIS 3500$, WHICH IN REAL SENSE WAS SWINDLED BY A KAMPALA CONMAN CALLED GEORGE.


I WAS ASSISTED BY THE UG
...ANDAN EMBASSY IN DAR EL SALAAM, WHO GAVE ME A TEMPORARY DOCUMENT TO RETURN ME HOME.
ON RETURN TO UGANDA I HUNTED FOR THE CONMAN, ARRESTED HIM AND HANDED HIM OVER TO POLICE, WHO FREED HIM ON CONDITIONS I DON'T KNOW!

I EXPLAINED TO THE TANZANIAN AMBASSADOR AT THE TANZANIAN HIGH COMMISSION IN UGANDA FOR ASSISTANCE BUT SEEMS IN VAIN.

I HAVE UPCOMING PERFORMANCES IN

SOUTH AFRICA, ENGLAND,BELGIUM, NORWAY,SWEDEN, CANADA ETC!

SO IS ERIC SHIGONGO ABOVE THE LAW TO KEEP MY PASSPORT ILLEGALY?

AM I LIABLE TO HIS NEGLEGANCE THAT HE TRUSTED A CONMAN?

IS IT FAIR THAT AN UNAUTHORIZED TANZANIAN CITZEN CAN KEEP MY PASSPORT FOR OVER A MONTH?

I NEED ADVICE

hii kasheshe ilitokea siku chache hapo nyuma na ni baada ya chameleon kumaliza kutumbuiza uwanja wa taifa na kutaka kuondoka ndipo shigongo na genge lake wakamwambia hakuna kuondoka mpaka afanye tamasha jingine,Chameleon alipotoa nje kwani haikuwa kwenye mkataba na licha ya hivyo ni kwamba alikua anatakiwa pia akatumbuize south africa kwenye tamasha la MTN.
 hivyo isingewezekana hata kama angeongezwa hela,
inasemekana ndipo Shigongo na genge lake kibabe alimnyanganya pass yake asiondoke kwa madai kwamba alimlipa dola 3500 kwa ajili ya kutumbuiza huko.
inasemekana Chameleon akaongea na wakubwa kwao huko Uganda na ikatolewa order toka kwa mzee Kaguta mwenyewe kwamba aruhusiwe kuondoka haraka sana.ndio kuondoka kama diplomat ila pasi hakurudishiwa,
kwa hiyo ndo ameamua kulizimua tena.

HABARI ZAIDI BOFYA CHINI

DEMONSTRATION AGAINST ERIC SHIGONGO OF GLOBAL PUBLISHERS TANZANIANo comments:

Post a Comment