Monday, 2 July 2012

MBUNGE WA MBEYA MJINI MHESHIMIWA SUGU AZUA KIZAAZAA BUNGENI

 

mbunge wa mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi amezua kizaa zaa bungeni muda mfupi uliopita mara baada ya kuongea kuhusu swala la Dokta Ulimboka  kufanyiziwa na mgomo wa madaktari kwa ujumla,kama kawaida ya bunge letu hili kitu "freedom of speech"ni ndoto za mchana maana ilikuwa mwenyekiti wa bunge akimtaka SUGU kukaa chini kila mara huku akimwamuru SUGU athibitishe madai yake au laah.....
hali hiyo haikumkatisha tamaa SUGU maana alifikisha ujumbe bila kuogopa na pia akahitimisha hoja yake kwa kuongelea pia swala la uadilifu na viongozi kujilimbikizia mali akianza na Rais mwenyewe na kutuhumu kuhusu kujenga "MANSION" pale chalinze.
haya habari kamili itawajia hapo kesho

No comments:

Post a Comment