Thursday, 26 July 2012

RAIS JK ATUA NA KUZINDUA UWANJA MPYA WA SONGWEPicha mbalimbali zikimuonyesha raisi Jakaya Mrisho Kikwete alipotua katika kiwanja cha ndege cha songwe mjini mbeya mara baada ya kukamilika kwa kiwanja hicho kwenye eneo la kurukia na kutua ndege,Raisi ahimiza kukamilishwa kwa jengo la abiria ambalo liko kwenye hatua za mwisho ili kurahisisha utumiaji wa kiwanja hicho.

1 comment:

  1. Naipongeza sana serikali kwa hatua hii,

    ReplyDelete