Tuesday, 17 July 2012

Rais Ellen Johnson Sirleaf Wa Liberia Awasili LeoRais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete  na mgeni wao Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia alipowasili Ikulu
jijini Dar es salaam leo kwa maongezi rasmi pamoja na dhifa ya kitaifa.

 PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment