Tuesday, 10 July 2012

congrats side mbegu kwa kufunga ndoaSide Mbegu akiwa na Mkewe na wapambe

nakupongeza mkuu kwa hatua hii kubwa uliyokamilisha,karibu chamani kama kawaida,ingawa wengine hatukufika sababu ya majukumu,unajua tena kibano cha kuikimbiza kurona.

lakini tunashukuru harusi ilifana tena sana na habari na mapicha zaidi ya tukio yatawajia wadau hapa hapa isaackin

No comments:

Post a Comment