---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za mashujaa zilizofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Sherehe hizo zilihudhuriwa na Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Mohamed Shein na baadhi ya maofisa kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Kama ilivyoada, Rais Kikwete alifanya shughuli zote zinazostahili ikiwa ni pamoja kusimika kisu, jembe na ngao kama ishara ya kuwakumbuka mashujaa wetu.
Pia askari wa zamani waolipigana vita kuu ya pili ya dunia ambao wako hai, walihudhuria sherehe hizo.

(Picha/Habari na GPL)
No comments:
Post a Comment