Tuesday, 10 July 2012

wepnge b.c.b.g enzi hizo-motoo motoo!
daniko live!
hii ndio nyimbo nilikua namkubali sana papa cheri,mukulu kulu,souverain,sultan bin-adame J.B. MPIANA,sikia kitu hicho kisha toa maoni ulikua wapi?

enzi hizi hazitasahaulika,ilikua mahali pa kukutana tazara club,ni mpango wa buzuki mpaka unakiona kijua cha asubuhi ndio unamalizia na supu unaondoka,kama huna majukumu tena unaendeleza tu mpaka ukianza kuongea kichina ndo unarudi kwenu umechoooka kama msukule

No comments:

Post a Comment