Monday 18 July 2011

TIMU YA TANZANIA IMEIBUKA MSHINDI NA KUINGIA FAINALI KATIKA MASHINDANO YA SOKA LA AFRIKA SCANDINAVIA

Kikosi cha libya wakipasha musuli
kikosi cha TZ kikijipanga kabla ya kuanza mechi
namuona willy pale kushoto akipooza na maji
mashabiki na wakereketwa wa timu ya kilimanjaro walikuwepo kwa wingi kushangilia timu yao

mwisho nyama zikachomwa na wachezaji na mashabiki wakasuuza koo baada ya mechi kali.
mpaka mwisho TZ walishinda LIBYA kwa bao 3-1


picha kwa hisani ya mjengwablog

na kwa mapicha zaidi bofya HAPA


1 comment: