Tuesday 19 April 2011

AFRICA GOT TALENT CRUISE ILIVYOFANA



tukiwa tumetulia kidogo na jamaa zangu kusubiria safari ianze

nyomi lilikua kubwa na watu walianza shangwe mapeema"steress kumfuko"


mchuma ukiwa umepaki kwa heshima ukisubiria wapakazaji waingie

safari ya kuingia usiulize kibega kamzigo kalinielemea
steress zote huwa tunaacha kwenye haka kakorido unakuja zichukua ukirudi na kwenda nazo nyumbani



mpango mzima ulianzia hapa,kama uliona shangwe sana ndani basi madude haya yalisababisha


ndani nikakutana na ndugu zangu hawa



linda nae akiwa na troop lake si mchezo




wazee wa kuchapa wakiwa wako full kurusha ndege usiku mzima

nikakutana na ndg yangu P.D.G.clay kona

pozi za ngumi tena!ndugu zake na gbagbo utawajua tu




ngoma ililizima bado mchana kweupee




nikakutana na mrembo wetu huyu,mnamkumbuka?


MORE PHOTO TO COME,STAY TUNED TO ISAACKIN

No comments:

Post a Comment