Wednesday 6 April 2011

MAONGEZI NA BWANA MILTON


hapa bwa mdogo ananipa story kibaaao za mipakazo pale vasa na sodra kwa vumbi,mi namsikiliza tu.

hapa mamaake kaingilia kati kumkumbusha kwamba "wee bana unaongea sana,ushasahau kama hata hizo story zoote baba yako ndio kakusimulia".

hapa akawa ameuchuna kwa kuona noma anawaza"mmh wamenishtukia"

No comments:

Post a Comment