Tuesday 5 April 2011

GBAGBO TO SURRENDER IVORY COAST

way to surrender GBAGBO

Allasane Ouatara river president

habari zaidi utaipata HAPA

hawa ndio vijana wa kazi,nimewaona leo kwenye taarifa wakisema wakipewa go-on tu wanapiga kazi masaa mawili tu wanamaliza biashara nikadhani wanatania.
mda huu tayari washamlegeza Gbagbo tayari anaomba ulinzi kule ili aachie madaraka.
safi sana.
Libya kule rebels naona bado wanamalizia kunyonya maana hawaonyeshi nia dhahiri ya mageuzi.

bado vingunge wa bongo huko.

No comments:

Post a Comment