Wednesday 13 April 2011

FALLY IPUPA LIVE STOCKHOLM & COPENHAGEN VIDEO



ANGALIA CHINI CONCERT NZIMA YA COPENHAGEN-DENMARK ILIVYOKUCHA
concert ya stockholm haikufanyika vizuri zaidi kwani kama unavyojua maganga akili zetu,wacongo wenzake waliandamana kupinga hilo onyesho kwasababu zao za kisiasa na kupiga simu polisi kwamba wanaenda kufanya fujo,kama walivyofanya mwaka jana onyesho likaahirishwa wakataka kufanya hivyo tena safari hii. bahati nzuri polis hawakufuta onyesho hilo lakini ndio hivyo jamaa walikua nje wanazuia watu kuingia na kurusha chupa mradi fujo tu wamuharibie mwenzao. wa-afrika sijui tulilogwa na nani,badala ya kumuacha jamaa yao agange njaa wao ndo kwaanza wameenda kuharibu.

asa sijui wamepata nini. soma habari kwenye hiyo link wanavyodai kwanini waliandamana,upuuzi mtupu


MAGANGA TUACHENI CHUKI NA WIVU

1 comment:

  1. Wakongomani wanao zungumza Kilingala baadhi yao ni wajinga sana,sababu yote yakumzuia Fally asipige Stockholm,sio sababu ya kisiasa ni sababu ya UKABILA...Kongo leo hii inaongozwa na Rais anaye zungumza Kiswahili ndo sababu yote hiyo...haya mambo yalianza toka Kongo ilipata Uhuru 1960 Lumumba alikua akizungumza Kiswahili wa Kilingala hawakumpenda.

    ReplyDelete