Wednesday 20 April 2011

AFRICA GOT TALENT CRUISE-MORE PICS

aladji,aladjiii tule monde lepelemee-miss africa scandinavia no 3 toka Togo akijiachia vilivyo






hii inaitwa bizzi-bodi nani alikwambia waafrika tunahitaji gym?kucheza muziki ni zoezi tosha kwa mwezi mzima



jessie yeye alikuwa kapiga kihip-hop siku hiyo utamtaka




mzee wa kuchapa"sound of blackness"akifurahia kuona watu wanaruka ngoma zake kama wamepagawa

miss africa scandinavia no 2 toka Cameroon



ndugu yangu alichangamka sana siku hiyo

nyomi



baada ya ka-danse kidogo mara MC akaingia na kusema kinachofuata

BADO PICHA NI NYIINGI NA MATUKIO TUONANE HAPA KESHO

No comments:

Post a Comment