Monday 4 April 2011

BONGO WEEK END FULL BATA










PICHA TOKA GPL

ndio maana mafisadi hawana cha mswalia mtume maana namna hii wananchi mnaonekana kama vile mmetosheka sana na neema mnayo.mda wote watu wako bussy na ku-pary saa ngapi watakumbuka majukumu?
lakini bora tu wajilie raha maana chama twawala kimekaba mpaka golini,sijui wataondoka lini tubadili upepo.lakini kama viongozi wenyewe wa kesho ndio hawa huku kwenye starehe basi bado sana tutapigwa chenga na C C C mpaka tukome.kwa hapa natabiri tuna miaka mingine 50 ya kuliwa chenga mpaka hang-over ya starehe ikijatoka ndio tujikomboe.






No comments:

Post a Comment