Thursday 14 April 2011

SHOW YA IRYN NAMUBIRU ILIVYOFANA















ilikuwa shangwe kiaina



dj Mike na MC maarufu Jose Mbazira walikuwepo kusababisha








kanyomi kidizaini
show ilikuwa nzuri kiaina watu walikuwepo kiasi na mwanamuziki alijitahidi sana kuimba na kuwachezesha watu.
natumai wanamuziki kutoka nyumbani nao wajitahidi kuchangamka wanapokuja kama hivi,kuna show ya LADY JAY DEE inakuja nadhani nae atatufurahisha sana tu.
ni vizuri tunapopata viburudisho kama hivi tuna-refresh akili na kidogo kupunguza steress,haya kwa mwezi huu imebaki shughuli tatu,boat trip kesho,spring party ya pablo usiku wa pasaka na lady jay dee show.
baada ya hapo ntatundika daluga kidogo kwa muda maana utu uzima unanyemelea,na tukionana viwanjani nitakuwa kikazi zaidi mipakazo itakua kwa chaati sio sana.

video za iryn namubiru nitaweka next week muone show ilivyokuwa


No comments:

Post a Comment