Monday 11 April 2011

KIVAZI TATA WEEK END


kimwana wa manywele miaka hiyo LULU

HII NI BONGO SI MTONI MDAU



photo courtesy:KINGKIFF

9 comments:

  1. ha ha haa,vp dada zangu?no comment ni comment pia bora mngeiongezea maneno tu,nawaelewa lakini.

    ReplyDelete
  2. Nimeishiwa nguvu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Aisee, labda imevaliwa mahala sio pake, ...sijui kama kweli kapita nayo barabarani, sijui...thithemi kitu

    ReplyDelete
  4. biashara matangazo jamani,mabinti wanazidisha mitego na mbinu mpya kila siku.hakuna pa kuchomokea

    ReplyDelete
  5. ha ha ha namkumbuka marehemu babu yangu alikuwa na usemo huu .MALI IYONEKANAYO NDIO ITOKAYO !.lakini kwa mtaji huu hii imepitiliza coz hapa chupi huyo hana , hata tukimtetea labda kavaa tong lakini itakuwa haina mikanda ? mimi sina la kusema zaidi ya kumtakia kila la heri na biashara anayoitangaza.

    ReplyDelete
  6. yaah,na hapo ukiingiza mkono kwenye hilo pochi unakutana na sambusa la kufa mtu

    ReplyDelete
  7. Jamani Mzee wa Ndombolo hapo umeniacha kdg sambusa ndo nini????????

    ReplyDelete