Tuesday 12 April 2011

chenga twawala CCC na igizo la kupokezana kijiti

aliyetoka baba


kijana aliyeingia

yale yaleee,mchezo wa kuigiza.inatoka "ZE KOMEDI SHOW" inaingia "ZE ORIJINO KOMEDI"
wananchi tutegemee nini?hapa ni kwamba tumepigwa changa lingine la macho,na sisi tunaendelea kuzogoa,kucheza bao na kunywa kahawa na kumshangilia chaguo la mungu kwa uamuzi huo.
kesho utatambulishwa mchezo mwingine wa kuigiza toka kundi lile lile lakini sasa wanakuja kivingine na sura mpya kaa tayari mwana-mdanganyika.

No comments:

Post a Comment