Friday 22 April 2011

IJUMAA KUU NJEMA WADAU WOTE


bila kusahau leo tu nyama kharamu kwahiyo sio mbaya ukipiga mbogamboga au matunda(inawezekana??)

3 comments:

  1. Ijumaa kuu njema nawe pia na familia yako...Usiwe na shaka leo ni mbogamboga tu na matunda..Glad Påsk!!

    ReplyDelete
  2. asante sana da yasi i hope kesho tutajazia gap ya nyam.gdday

    ReplyDelete
  3. Ha ha ha Pasaka hii kawangu itakuwa ngumu nasdhani utanielewa kesho nina maana gani kama bado hujastukia...Pamoja daima

    ReplyDelete