Friday 29 April 2011

HERITIER WATANABE"GUCCI" NA CHALZ BABA



heritier watanabe


chalz baba


sijapata video ya chalz baba akiimba lakini sikia twanga live hii
kisha msikilize heritier hapa live

siwezi sema nani zaidi ntaonekana kituko,ila katika wanamuziki ninaowafananisha basi ni hawa wawili,nishamuona chalz baba akiimba na heritier pia
,jinsi wanavyoperfom kwenye stage,uimbaji na mbwembwe zote ingawa wote hawana mbwembwe sana stejini.sasa sijui nani anamuiga mwenzie.nahisi chalz baba anajaribu kufuata nyayo za huyu jamaa.
anajitahidi kwakweli kwa sisi wapenzi wa bolingo-rumba chalz baba anajitahidi sana na aendelee hivyo hivyo ingawa muziki wa dansi bongo hauendi mbali kwa sababu kama hizi kuigiza wanamuziki wacongo kuanzia beat,sound,kucheza na kila kitu.sio mbaya kwamba at least wanatufurahisha wapenzi wao kibongobongo.

wiki ijayo tutacheki ali choki na emilia kisha tutaona eboa lotin na jose mara

No comments:

Post a Comment