Thursday 28 April 2011

LADY JAY DEE KASHAINGIA STOCKHOLM TAYARI KWA MAKAMUZI HAPO KESHO


Lady J.D akiwa na FREDDYNICE
fredynice na wazee wa kuchapa(sound of blackness)wanakwambia kesho ni fimbo tu msikose

3 comments:

  1. Aisee!! Bahati mbaya sna naishi nje kidogo ya Stockholm nilikuwa napenda kweli kuonana na dada huyu..Kaka Isaack mpe salamu toka kwangu...

    ReplyDelete
  2. zimefika da yasinta ungejitahidi kuja japo this time tu,anyway ntakuwakilisha

    ReplyDelete
  3. Waoooh hii si ya kukosa kabisaaa

    ReplyDelete